Saturday, April 12, 2025
Niwakati sasa wakumjua yupi mkali wa Fainal za END OF THE WEAK TANZANIA atakae kua mshindi wa Taifa ilikutuwakilisha katika mashindano ya dunia fika bila kukosa SUNRISE BEACH PUB BUKOBA bila kukosa Tarehe 20 mchana siku ya Pasaka ambapo tunamshindanisha DOZ NENE Vs TONNY SWAGGZ je unadhani nani atatupeperushia bengera kwenye world Final Mwezi watano PALE jijini Kampala Uganda πΊπ¬ fika bila kukosa ujionee michano ya kukata nashoka uku wakisindikizwa na wanyeji KISHANKALA BYALAGALA pamoja na ZOMBIE DUME Karibuni wote SUNRISE BEACH PUB hakuna kiingilio@ukaerootstv @sunrisebeachpub @sunrise_beachbk @willybukobatours@eodub @eow_brasil @eowengland @eodubuganda @eodubsouth @eodubsouth @eowromania @eowprague @eownyc @eowromania @eow_chineis_02 @eowquebec @eow_france @end_of_the_weak_belgium @eownetherlands @eow_switzerland @eow_switzerland @eowswitzerland @eowtoronto @eobeatschallenge @eodubgermany @end_of_the_weak_southafrica @djkeri_eow_france @eowinkenobi @nihaweeza_org
-
Dear Sir / Madam. Nihaweeza African Organization (NAO) is a Non Governmental Organization (NGO) which was formed in 2005 by 10 members and l...